Coming Home


Mpenzi soon naja nyumbani
Nyumbani kuwa na wewe,
Najua umeni-miss babe
Tangu niondoke;
I miss your touch –
Mpenzi nakutaka,
I miss your love – babe
I’m coming home…

Safari yangu imeisha, naja nyumbani
Tabasamu kidogo – 
I’ve missed you along
Kila nilipoenda – babe
I saw your face
Kila nilipolala, babe
I’m coming home
Kuwa na wewe…

My heart beats for you
My one and my only;
I miss your touch
Mpenzi nakutaka
I miss your love
Najua umeni-miss, babe
I’m coming home…

Comments

Popular posts from this blog

Intimate Partner Violence (Retribution)

No More Love

Cracked Hearts